Romans 11:9-10

9 aNaye Daudi anasema:

“Karamu zao na ziwe tanzi na mtego wa kuwanasa,
kitu cha kuwakwaza waanguke, na adhabu kwao.
10 bMacho yao yatiwe giza ili wasiweze kuona,
nayo migongo yao iinamishwe daima.”
Copyright information for SwhNEN